Picha mbili tofauti zikimuonyesha mmoja wa wanachama wa kundi la Watanashati anayejulikana kwa jina la Shakoor Jongo a.k.a Shaqs akiwa ameshikiliaa jezi hizo muda mchache kabla hajazikabidhi
Kupitia mtando wa INSTAGRAM, Elizabeth Michael aka Lulu ameshare nasi
hii video ya harusi yake na muigizaji mwenzaje JOTI......Kisha kuandika
maneno haya " Ushawahi
kuona Harusi ina wadhamini wewe.....hahahahahha Nwei...Special Thanks
To.... 1. GLAMBOX walisimamia Make-up ya Bibi harusi 2. @kionne_bridal_boutique for the beautiful dress n accessories 3. @weddingbellstanzania
lol...walisimamia SUIT ya bwana harusi 4. ESCAPE 1-VENUE 5.CYN
HENJEWELE - DECORATION Lastly na nyie mlioudhuria pale ITV Jumamosi...." plate by SoraTemplates and - singaporenewlaunches
Muimbaji maarufu wa bendi ya Twanga
Pepeta, Amigolas amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili ya
09/11/2014. Mauti imemkuta Amigolas akiwa amelazwa katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili Dar es salaam akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo.
Kaimu
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Ligi Syephen Mguto (kulia) akimkabidhi tuzo
Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa mwezi Oktoba,Abubakar Salum
"Sure Boy" katika sherehe iliyofanyika kwenye uwanja wa Azam, Chamazi
jijini Dar esSalaam jana.
Hii
ndio ile barabara ya Ukonga Mazizini- Moshi Bar ambayo inadaiwa
kugharimu kiasi cha shilingi Milioni 90 kuikarabati kwa kiwango cha
changarawe kwa umbali wa kilometa tatu. Picha hizi ni madimbwi ya mwanzo tu ya hizo kilometa tatu. Meya
Jerry Silaa wa Ilala ambaye ni Diwani wa Gongo la Mboto alipotembelea
aliwaambia wananchi kuwa fedha za ujenzi huo ni kutoka mfuko wao.
Rais wa Bunge la SADC na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda.
Na Owen Mwandumbya, Lusaka Zambia
Rais wa Bunge la SADC ambaye pia ndiye Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda kesho tarehe 10 Novemba, 2014
ataongoza ujumbe wa Bunge la SADC kushiriki Misa Maalum ya kuombea mwili
wa aliyekuwa Rais wa Zambia marehemu Michael Chilufya Sata katika misa
maalum itakayofanyika katika viwanja vya Makumbusho Mjini Lusaka,
Zambia.