Muimbaji maarufu wa bendi ya Twanga
Pepeta, Amigolas amefariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili ya
09/11/2014. Mauti imemkuta Amigolas akiwa amelazwa katika hospitali ya
Taifa ya Muhimbili Dar es salaam akiwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo.
Amigolas alikuwa na Twanga Peteta toka mwaka 1995. Aligundua anamatatizo ya moyo mwaka jana.

No comments:
Post a Comment