HAKUNA NCHI INAYOWEZA KUSIMAMA PEKE YAKE-BAN KI MOON
Katibu
Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, akizungumza na wajumbe wa
kamati ya maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Dunia wa Maspika wa Mabunge,
wajumbe wa kamati hiyo akiwamo Mhe, Spika Anne Makinda ( Mb) walikutana
kwa siku mbili hapa Umoja wa Mataifa
Pamoja na kuzungumza na Katibu Mkuu,maspika wanaounda kamati ya maandalizi walipata fursa
ya kubadilishana mawazo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Jan Eliasson
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Anne Makinda ( Mb) akisalimia na Katibu Mkuu, Ban Ki Moon
Naibu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Jan Eliasson akisalimiana na Mhe.
Anne Makinda ( Mb) Spika wa Bunge Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe Spika Anne Makinda ( Mb) akibadilishana mawazo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dr. Theo-Ben Gurirab
Pamoja
jukumu kubwa la mkutano wa kamati ya maandalizi, Mhe. Spika alipata
nafasi ya kufika katika Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja
wa Mataifa ambapo alipokelewa na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Balozi,
RamadhaniMwinyi. Hapa Mhe. Spika akisaini kitabu cha wageni na pembeni
yake ni Balozi Ramadhan Mwinyi na aliyeketi ni Bw. Eliufoo Ukhotya
kutoka Ofisi ya Spika.
No comments:
Post a Comment