watanashati

watanashati

tengeneza website

tengeneza website

Tuesday, November 18, 2014

SHAQS ATIMIZA AHADI YAKE YA JEZI KWA WATANASHATI

Jezi za Timu ya mpira wa miguu ya Watanashati FC


 Picha mbili tofauti zikimuonyesha mmoja wa wanachama wa kundi la Watanashati anayejulikana kwa jina la Shakoor Jongo a.k.a Shaqs akiwa ameshikiliaa jezi hizo muda mchache kabla hajazikabidhi

No comments:

Post a Comment